naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 28

Aliandika barua ___ kalamu ya wino.

From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi

28. Aliandika barua _______ kalamu ya wino.

  1. Ana
  2. Bkwa
  3. Cla
  4. Dcha

Answer

B. kwa

Tunaandika kwa kalamu: "kwa" huonyesha kifaa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test