CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 23
Kanusha sentensi hii. "Umekula nilichokupikia."
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
23. Kanusha sentensi hii.
"Umekula nilichokupikia."
- AHujakula ulichopikiwa.
- BHujala ulichonipikia.
- CHujakula ulichokupikiwa.
- DHujala nilichokupikia.
Answer
D. Hujala nilichokupikia.
"Umekula" hukanushwa "Hujala"; sehemu nyingine hubaki: nilichokupikia.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi si nomino ya makundi?Question 24
- Ni salamu zipi si za asubuhi?Question 25
- Samaki ___ ni wakubwa sana.Question 26
- Siafu ___ huuma watu.Question 27
- Aliandika barua ___ kalamu ya wino.Question 28
- Tambua nomino ambata katika sentensi hizi. Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.Question 29