CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 25
Ni salamu zipi si za asubuhi?
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Salamu
25. Ni salamu zipi si za asubuhi?
- ASabalkheri
- BChewa
- CAlamsiki
- DSabalheri.
Answer
C. Alamsiki
Alamsiki ni salamu ya usiku.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Samaki ___ ni wakubwa sana.Question 26
- Siafu ___ huuma watu.Question 27
- Aliandika barua ___ kalamu ya wino.Question 28
- Tambua nomino ambata katika sentensi hizi. Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.Question 29
- Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.Question 30
- Nuru alifanya kitu gani cha kwanza alipofika nyumbani kutoka sokoni?Question 1