CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 26
Samaki ___ ni wakubwa sana.
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
26. Samaki _____ ni wakubwa sana.
- Ahao
- Bhizo
- Chizi
- Dzile
Answer
A. hao
"wakubwa" ni upatanisho wa wanyama (A-WA), hivyo "samaki hao".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Siafu ___ huuma watu.Question 27
- Aliandika barua ___ kalamu ya wino.Question 28
- Tambua nomino ambata katika sentensi hizi. Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.Question 29
- Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.Question 30
- Nuru alifanya kitu gani cha kwanza alipofika nyumbani kutoka sokoni?Question 1
- Damu iliyokuwa mdomoni mwa paka ilikuwa yaQuestion 2