CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 21
Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo. Ni upi si msamiati wa adabu.
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Msamiati, Msamiati wa Adabu
21. Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo.
Ni upi si msamiati wa adabu.
- ATafadhali
- BAnahara
- CSamahani
- DMjamzito.
Answer
B. Anahara
Tafadhali, samahani na mjamzito ni maneno ya adabu; "anahara" si neno la adabu.