CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 16
Chagua jibu sahihi la pengo 16.
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Soma kifungu kifuatacho kisha chagua jibu sahihi kujaza pengo kutoka swali la 16 -20.
Ukarimu __16__ ndani ya damu ya mwafrika hasa __17__ majirani na wageni. __18__ rahisi hata kidogo __19__ mwafrika anakula __20__ hajajua hali ya jirani yake na kumpelekea kile kizuri alichopika.
16. Chagua jibu sahihi la pengo 16.
- Aumo
- Bziko
- Cupo
- Diko
Answer
A. umo
Ukarimu umo ndani ya damu.