CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 19
Chagua jibu sahihi la pengo 19.
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Soma kifungu kifuatacho kisha chagua jibu sahihi kujaza pengo kutoka swali la 16 -20.
Ukarimu __16__ ndani ya damu ya mwafrika hasa __17__ majirani na wageni. __18__ rahisi hata kidogo __19__ mwafrika anakula __20__ hajajua hali ya jirani yake na kumpelekea kile kizuri alichopika.
19. Chagua jibu sahihi la pengo 19.
- Akumtazama
- Bkumwona
- Ckumwangalia
- Dkuonana
Answer
B. kumwona
Si rahisi kumwona mwafrika anakula.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi la pengo 20.Question 20
- Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo. Ni upi si msamiati wa adabu.Question 21
- Chagua sentensi sahihi.Question 22
- Kanusha sentensi hii. "Umekula nilichokupikia."Question 23
- Ni ipi si nomino ya makundi?Question 24
- Ni salamu zipi si za asubuhi?Question 25