CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025: School Based Assessment 2025 (Set 11B)
Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 31 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Kiki Malala alisoma katika shule inayoitwa?Answer: Kinja
- Question 2: Mechi inayosimuliwa katika kifungu hiki haikukamilika. Eleza sababu.Answer: Mashabiki waliingia uwanjani na kuzua rabsha
- Question 3: Je, unafikiri ni nini kitatokea iwapo timu ya Kinja itakosa huduma za mchezaji wake wa kutegemewa?Answer: Huenda wakashindwa
- Question 4: Eleza maana ya “kutuliza hali” kulingana na kifungu.Answer: Kurejesha utulivu
- Question 5: Sokwe huenda sokoni kuuza nini?Answer: Maembe na maparachichi
- Question 6: Ni mambo gani yanayoonyesha kuwa Sokwe na Korongo walitaka kufika sokoni mapema?Answer: Waliamua kuabiri bodaboda; walizidi kumrai Mbuni aongeze kasi
- Question 7: Unafikiri ni nini kingetokea iwapo bodaboda ingeendeshwa taratibu?Answer: Hawangepata ajali
- Question 8: Safari ilikuwa imetumbukia nyongo ina maana:Answer: Safari iliharibika
- Question 9: Msimulizi alijifunza upishi kutoka kwa nani?Answer: Juma
- Question 10: Mama alimpa msimulizi jina ‘mpishi bora’. Eleza sababu.Answer: Alipika chakula kitamu
- Question 11: Ni nini kingefanyika iwapo msimulizi angekosa kupika chakula kitamu?Answer: Wageni hawangefurahia
- Question 12: Methali, chanda chema huvikwa pete katika kifungu inaeleza nini kuhusu msimulizi?Answer: Ni mwenye bidii; alipika vizuri akasifiwa
- Question 13: Je, Zubeda alienda katika ofisi ya mwalimu wakati gani?Answer: Asubuhi baada ya gwaride
- Question 14: Zubeda ni mtoto mwaminifu kwa kuwa?Answer: Hakusoma barua; aliifikisha kwa mwalimu mkuu
- Question 15: Unafikiri ni kwa nini ni makosa kusoma barua za watu wengine?Answer: Ni ukosefu wa adabu
- Question 16: Taja neno lingine lenye maana sawa na barua.Answer: Waraka
- Question 17: Mti huu una nomino zifuatazo: furaha, uzi, hekima, ukarimu, werevu. Chagua nomino ambayo si ya dhahania kwenye mti huu:Answer: uzi
- Question 18: Andika sentensi ifuatayo katika hali ya wingi. Unyoya wa kuku yule ni mweupe.Answer: Manyoya ya kuku wale ni meupe.
- Question 19: Chagua sentensi yenye nomino iliyo katika ngeli ya I-ZIAnswer: C. Nguo iliyofuliwa ilikauka haraka.
- Question 20: Tazama picha hii. Huyu ni Rhoda. Rhoda anasoma kitabu cha hadithi. Tunga sentensi ukianza kwa: Kusoma kwake ___.Answer: Kusoma kwake kunavutia.
- Question 21: Jaza pengo katika sentensi hii. Mangi alimwita Otieno naye Otieno akamwita Mangi. Hivyo wote ___ (waliitika, waliitana)Answer: waliitana
- Question 22: Kamilisha tashbihi ifuatayo: Tangu Jeni ashauriwe, amekuwa mtulivu kama ___.Answer: maji ya mtungi
- Question 23: Tazama mfano: panga-pangua. Juna alipangua vitabu kwenye rafu. Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi anika.Answer: Mama alianua nguo kambani.
- Question 24: Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali ya mazoea. Wanafunzi wameenda uwanjani kucheza soka.Answer: Wanafunzi huenda uwanjani kucheza soka.
- Question 25: Kanusha sentensi hii: Yeye ataandika ubaoni.Answer: Yeye hataandika ubaoni.
- Question 26: Tazama picha hii. Jaza mapengo kwenye picha kwa kutumia neno katika hali ya ukubwa au udogo ___ ngoma ___Answer: goma (kubwa), kigoma (ndogo)
- Question 27: Akifisha sentensi ifuatayo: maua yanapamba mazingira yetuAnswer: Maua yanapamba mazingira yetu.
- Question 28: Panga maneno haya jinsi yanavyofuatana katika kamusi. pona, dawa, kodi, tibuAnswer: dawa, kodi, pona, tibu
- Question 29: Chagua kiambishi kinachofaa kujaza pengo katika sentensi hii. Nyinyi ___tafanikiwa maishani.Answer: B. m
- Question 30: Hili ni shamba lenye mihindi. Kisawe cha shamba ni:Answer: A. konde
- Question 31: Andika insha kuhusu: MNYAMA NIMPENDAYEAnswer: MNYAMA NIMPENDAYE Mnyama nimpendaye kuliko wote ni mbwa wetu anayeitwa Simba. Ana manyoya ya rangi ya…