naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 20

Tazama picha hii. Huyu ni Rhoda. Rhoda anasoma kitabu cha hadithi. Tunga sentensi ukianza kwa: Kusoma kwake ___.

From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli ya KU-KU

Msichana ameketi nyasini akisoma kitabu

20. Tazama picha hii.
Huyu ni Rhoda. Rhoda anasoma kitabu cha hadithi.
Tunga sentensi ukianza kwa:
Kusoma kwake ______.

Answer

Kusoma kwake kunavutia.

Upatanisho wa ngeli ya KU-KU.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test