CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 19
Chagua sentensi yenye nomino iliyo katika ngeli ya I-ZI
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
19. Chagua sentensi yenye nomino iliyo katika ngeli ya I-ZI
- ANg’ombe wetu alipelekwa malishoni.
- BWimbo ulioimbwa uliwavutia wengi.
- CNguo iliyofuliwa ilikauka haraka.
- DWino ulimwagika sakafuni jana.
Answer
C. Nguo iliyofuliwa ilikauka haraka.
Nguo – nguo (I-ZI).
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tazama picha hii. Huyu ni Rhoda. Rhoda anasoma kitabu cha hadithi. Tunga sentensi ukianza kwa: Kusoma kwake ___.Question 20
- Jaza pengo katika sentensi hii. Mangi alimwita Otieno naye Otieno akamwita Mangi. Hivyo wote ___ (waliitika, waliitana)Question 21
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Tangu Jeni ashauriwe, amekuwa mtulivu kama ___.Question 22
- Tazama mfano: panga-pangua. Juna alipangua vitabu kwenye rafu. Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi anika.Question 23
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali ya mazoea. Wanafunzi wameenda uwanjani kucheza soka.Question 24
- Kanusha sentensi hii: Yeye ataandika ubaoni.Question 25