CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Jaza pengo katika sentensi hii. Mangi alimwita Otieno naye Otieno akamwita Mangi. Hivyo wote ___ (waliitika, waliitana)
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli
21. Jaza pengo katika sentensi hii.
Mangi alimwita Otieno naye Otieno akamwita Mangi. Hivyo wote ______ (waliitika, waliitana)
Answer
waliitana
Kauli ya kutendana.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Tangu Jeni ashauriwe, amekuwa mtulivu kama ___.Question 22
- Tazama mfano: panga-pangua. Juna alipangua vitabu kwenye rafu. Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi anika.Question 23
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali ya mazoea. Wanafunzi wameenda uwanjani kucheza soka.Question 24
- Kanusha sentensi hii: Yeye ataandika ubaoni.Question 25
- Tazama picha hii. Jaza mapengo kwenye picha kwa kutumia neno katika hali ya ukubwa au udogo ___ ngoma ___Question 26
- Akifisha sentensi ifuatayo: maua yanapamba mazingira yetuQuestion 27