CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 27
Akifisha sentensi ifuatayo: maua yanapamba mazingira yetu
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji
27. Akifisha sentensi ifuatayo: maua yanapamba mazingira yetu
Answer
Maua yanapamba mazingira yetu.
Herufi kubwa mwanzoni na kitone mwishoni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Panga maneno haya jinsi yanavyofuatana katika kamusi. pona, dawa, kodi, tibuQuestion 28
- Chagua kiambishi kinachofaa kujaza pengo katika sentensi hii. Nyinyi ___tafanikiwa maishani.Question 29
- Hili ni shamba lenye mihindi. Kisawe cha shamba ni:Question 30
- Andika insha kuhusu: MNYAMA NIMPENDAYEQuestion 31
- Kiki Malala alisoma katika shule inayoitwa?Question 1
- Mechi inayosimuliwa katika kifungu hiki haikukamilika. Eleza sababu.Question 2