naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 26

Tazama picha hii. Jaza mapengo kwenye picha kwa kutumia neno katika hali ya ukubwa au udogo ___ ngoma ___

From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo

Ngoma tatu: kubwa kushoto, ya kati imeandikwa ngoma, ndogo kulia

26. Tazama picha hii.
Jaza mapengo kwenye picha kwa kutumia neno katika hali ya ukubwa au udogo
______ ngoma ______

Answer

goma (kubwa), kigoma (ndogo)

Ngoma – goma (ukubwa); kigoma (udogo).

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test