CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 25
Kanusha sentensi hii: Yeye ataandika ubaoni.
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
25. Kanusha sentensi hii:
Yeye ataandika ubaoni.
Answer
Yeye hataandika ubaoni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tazama picha hii. Jaza mapengo kwenye picha kwa kutumia neno katika hali ya ukubwa au udogo ___ ngoma ___Question 26
- Akifisha sentensi ifuatayo: maua yanapamba mazingira yetuQuestion 27
- Panga maneno haya jinsi yanavyofuatana katika kamusi. pona, dawa, kodi, tibuQuestion 28
- Chagua kiambishi kinachofaa kujaza pengo katika sentensi hii. Nyinyi ___tafanikiwa maishani.Question 29
- Hili ni shamba lenye mihindi. Kisawe cha shamba ni:Question 30
- Andika insha kuhusu: MNYAMA NIMPENDAYEQuestion 31