CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 24
Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali ya mazoea. Wanafunzi wameenda uwanjani kucheza soka.
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Hali ya Mazoea
24. Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali ya mazoea.
Wanafunzi wameenda uwanjani kucheza soka.
Answer
Wanafunzi huenda uwanjani kucheza soka.
hu- ni ya mazoea.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi hii: Yeye ataandika ubaoni.Question 25
- Tazama picha hii. Jaza mapengo kwenye picha kwa kutumia neno katika hali ya ukubwa au udogo ___ ngoma ___Question 26
- Akifisha sentensi ifuatayo: maua yanapamba mazingira yetuQuestion 27
- Panga maneno haya jinsi yanavyofuatana katika kamusi. pona, dawa, kodi, tibuQuestion 28
- Chagua kiambishi kinachofaa kujaza pengo katika sentensi hii. Nyinyi ___tafanikiwa maishani.Question 29
- Hili ni shamba lenye mihindi. Kisawe cha shamba ni:Question 30