CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 30
Hili ni shamba lenye mihindi. Kisawe cha shamba ni:
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe

30. Hili ni shamba lenye mihindi. Kisawe cha shamba ni:
- Akonde
- Bkiambo
- Cbaraste
Answer
A. konde
Konde ni shamba.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika insha kuhusu: MNYAMA NIMPENDAYEQuestion 31
- Kiki Malala alisoma katika shule inayoitwa?Question 1
- Mechi inayosimuliwa katika kifungu hiki haikukamilika. Eleza sababu.Question 2
- Je, unafikiri ni nini kitatokea iwapo timu ya Kinja itakosa huduma za mchezaji wake wa kutegemewa?Question 3
- Eleza maana ya “kutuliza hali” kulingana na kifungu.Question 4
- Sokwe huenda sokoni kuuza nini?Question 5