CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 17
Mti huu una nomino zifuatazo: furaha, uzi, hekima, ukarimu, werevu. Chagua nomino ambayo si ya dhahania kwenye mti huu:
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino za Dhahania
17. Mti huu una nomino zifuatazo: furaha, uzi, hekima, ukarimu, werevu. Chagua nomino ambayo si ya dhahania kwenye mti huu:
Answer
uzi
Uzi unaonekana na kushikika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo katika hali ya wingi. Unyoya wa kuku yule ni mweupe.Question 18
- Chagua sentensi yenye nomino iliyo katika ngeli ya I-ZIQuestion 19
- Tazama picha hii. Huyu ni Rhoda. Rhoda anasoma kitabu cha hadithi. Tunga sentensi ukianza kwa: Kusoma kwake ___.Question 20
- Jaza pengo katika sentensi hii. Mangi alimwita Otieno naye Otieno akamwita Mangi. Hivyo wote ___ (waliitika, waliitana)Question 21
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Tangu Jeni ashauriwe, amekuwa mtulivu kama ___.Question 22
- Tazama mfano: panga-pangua. Juna alipangua vitabu kwenye rafu. Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi anika.Question 23