CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9)
Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na kifungu, ni jukumu lipi kuu la mnunuzi wakati wa kufanya ununuzi?Answer: C. Kufanya maamuzi sahihi.
- Question 2: Ni hatua ipi kati ya zifuatazo haifai kwa mnunuzi mwangalifu?Answer: B. Kununua bila kusoma maagizo.
- Question 3: Kulingana na kifungu, mnunuzi anapaswa kuchukua tahadhari dhidi ya nini?Answer: C. Udanganyifu wa kibiashara.
- Question 4: Kwa nini mnunuzi anashauriwa kupendelea bidhaa salama kwa mazingira?Answer: D. Huchangia ajira, ulinzi wa mazingira, na maendeleo ya taifa.
- Question 5: Kulingana na kifungu, nini husaidia kulinda haki za mnunuzi?Answer: C. Kufanya maamuzi yenye ufahamu na uwajibikaji.
- Question 6: Ni ipi kati ya athari zifuatazo haikutajwa kama matokeo ya maamuzi ya ununuzi wa mnunuzi?Answer: D. Kisiasa
- Question 7: Ni tabia ipi kati ya hizi inayotarajiwa kwa mnunuzi bora?Answer: A. Kuwa na maadili na ufahamu wakati wa kununua.
- Question 8: Kifungu kinapendekeza mnunuzi kusoma maagizo ya bidhaa iliAnswer: D. kufahamu taarifa muhimu kuhusu bidhaa.
- Question 9: Anwani bora ya kifungu hiki ni ipi?Answer: C. Majukumu ya mnunuzi.
- Question 10: Kulingana na kifungu, hatua ya kwanza ya kushughulikia hisia ni ipi?Answer: A. Kutambua kile unachohisi.
- Question 11: Ni hisia ipi kati ya hizi haikutajwa katika kifungu?Answer: D. Aibu
- Question 12: Njia mojawapo ni ipi?Answer: A. Kuandika hisia zako.
- Question 13: Kulingana na kifungu, ni wakati gani mtu anapaswa kubadilisha mbinu alizochagua?Answer: B. Zikiwa hazileti utulivu.
- Question 14: Ni ipi kati ya hizi si mbinu mojawapo ya kukabiliana na hisia iliyotajwa kwenye kifungu?Answer: D. Kula vyakula vyenye sukari nyingi.
- Question 15: Kuweka mipaka ya afya ya akili kunamaanisha nini kulingana na kifungu?Answer: C. Kujua ni nini kinakuletea utulivu na kukilinda.
- Question 16: Ni kwa nini ni muhimu kuzipa hisia zako kipaumbele?Answer: C. Ili ujijue na kujijali vizuri.
- Question 17: Kwa nini mtu anapaswa kushirikiana na wengine anapotumia mbinu za kukabiliana na hisia?Answer: D. Ili aepuke matatizo ya kiakili.
- Question 18: Ni kauli ipi inaelezea vizuri ujumbe wa kifungu?Answer: C. Kukabiliana na hisia ni mchakato unaohitaji ufahamu na kujitunza.
- Question 19: Kulingana na kifungu, mtu anapaswa kuwa vipi kwake mwenyewe?Answer: B. Mpole na mwadilifu.
- Question 20: Kifungu kinamalizia kwa kusema nini kuhusu kukabiliana na hisia?Answer: B. Ni safari yenye hatua zinazojenga nguvu mpya.
- Question 21: Kulingana na mahojiano, haki ya mtoto ni nini?Answer: C. Kupata elimu, ulinzi na huduma muhimu.
- Question 22: Bi. Neema alitaja haki ipi kama inayopuuzwa zaidi katika jamii?Answer: C. Haki ya kusikilizwa.
- Question 23: Mtangazaji alikuwa na mgeni kutoka taasisi ipi?Answer: B. Watoto Kwanza
- Question 24: Kwa nini kusikiliza watoto ni muhimu kulingana na mahojiano?Answer: B. Huwasaidia katika maamuzi yanayowahusu.
- Question 25: Kulingana na Bi. Neema, ni nani anapaswa kuhakikisha haki za watoto zinalindwa?Answer: D. Jamii nzima
- Question 26: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 26.Answer: C. unaendelea
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.Answer: B. kwa
- Question 28: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.Answer: D. vilivyohalalishwa
- Question 29: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.Answer: A. mengi
- Question 30: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.Answer: A. haswa
- Question 31: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 31.Answer: D. inayoathiriwa
- Question 32: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 32.Answer: A. kumlemaza
- Question 33: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.Answer: B. pa
- Question 34: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.Answer: A. zimeambulia patupu
- Question 35: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Answer: B. kote
- Question 36: Chagua jozi yenye methali zenye maana sawa. (i) Mgala muue na haki umpe. (ii) Polepole ndio mwendo. (iii) Lililo moyoni ulimi huiba. (iv)…Answer: A. (ii), (iv)
- Question 37: Chagua sentensi iliyoakifishwa sahihiAnswer: D. Mama alisema, “nitakuja jioni.”
- Question 38: Kanusha sentensi hii. Aliimba na akatuzwa.Answer: C. Hakuimba wala hakutuzwa.
- Question 39: Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi?Answer: B. Motokaa iliyouzwa haikuwa na taa.
- Question 40: Warefu wanafaa kusimama wima mbele ya darasa. Neno lililopigiwa mstari limetumika kamaAnswer: D. kiwakilishi.
- Question 41: Andika wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Answer: B. Nyufa za kuta hizi ni pana.
- Question 42: Chagua ukanusho wa sentensi hii. Kaka amekimbia haraka sana.Answer: D. Kaka hajakimbia haraka sana
- Question 43: Neno ‘uyoga’ lipo katika ngeli gani?Answer: D. U-U
- Question 44: Kamilisha sentensi ifuatayo. Bidhaa zenye thamani huwa na bei ...Answer: C. ghali
- Question 45: Lala ni amka, keti ni simama, kimbia ni tembea kama ilivyo kwa epua ni kwa...Answer: C. injika
- Question 46: Chagua jibu lisilo sahihi kulingana na sentensi hii. Mumina alimpigia Marwa mpira.Answer: D. Mumina alimpiga Marwa kwa kutumia mpira.
- Question 47: Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. “Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.Answer: C. Afisa aliwauliza iwapo wangeenda hapo siku iliyofuata.
- Question 48: Tegua kitendawili kifuatacho. Kisima changu hakitindiki maji.Answer: B. Kinywa
- Question 49: Neno Ahmed ni jina la mwanafunzi wa gredi ya saba. Jina hili lipo katika aina ipi ya nomino?Answer: A. Za pekee
- Question 50: Tambua kielezi katika sentensi hii. Dkt Mwali hutibu magonjwa mengi ya mgongo vizuri.Answer: A. vizuri