CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 50
Tambua kielezi katika sentensi hii. Dkt Mwali hutibu magonjwa mengi ya mgongo vizuri.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vielezi
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
50. Tambua kielezi katika sentensi hii.
Dkt Mwali hutibu magonjwa mengi ya mgongo vizuri.
- Avizuri
- Bmengi
- CDkt.
- Dhutibu
Answer
A. vizuri
Kinaeleza jinsi anavyotibu.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na kifungu, ni jukumu lipi kuu la mnunuzi wakati wa kufanya ununuzi?Question 1
- Ni hatua ipi kati ya zifuatazo haifai kwa mnunuzi mwangalifu?Question 2
- Kulingana na kifungu, mnunuzi anapaswa kuchukua tahadhari dhidi ya nini?Question 3
- Kwa nini mnunuzi anashauriwa kupendelea bidhaa salama kwa mazingira?Question 4
- Kulingana na kifungu, nini husaidia kulinda haki za mnunuzi?Question 5
- Ni ipi kati ya athari zifuatazo haikutajwa kama matokeo ya maamuzi ya ununuzi wa mnunuzi?Question 6