naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 42

Chagua ukanusho wa sentensi hii. Kaka amekimbia haraka sana.

From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji

Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.

42. Chagua ukanusho wa sentensi hii.
Kaka amekimbia haraka sana.

  1. AKaka hakukimbia harasa sana
  2. BKaka hakimbii haraka sana.
  3. CKaka hatakimbia haraka sana.
  4. DKaka hajakimbia haraka sana

Answer

D. Kaka hajakimbia haraka sana

-me- hukanushwa kwa -ja-.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test