CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 41
Andika wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Wingi
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
41. Andika wingi wa sentensi hii.
Ufa wa ukuta huu ni mpana.
- ANyufa ya kuta hii ni mipana.
- BNyufa za kuta hizi ni pana.
- CNyufa za kuta hii ni pana.
- DNyufa za nyuta hizi ni pana
Answer
B. Nyufa za kuta hizi ni pana.
Ufa – nyufa, ukuta – kuta (ngeli ya U-ZI).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua ukanusho wa sentensi hii. Kaka amekimbia haraka sana.Question 42
- Neno ‘uyoga’ lipo katika ngeli gani?Question 43
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Bidhaa zenye thamani huwa na bei ...Question 44
- Lala ni amka, keti ni simama, kimbia ni tembea kama ilivyo kwa epua ni kwa...Question 45
- Chagua jibu lisilo sahihi kulingana na sentensi hii. Mumina alimpigia Marwa mpira.Question 46
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. “Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.Question 47