CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 45
Lala ni amka, keti ni simama, kimbia ni tembea kama ilivyo kwa epua ni kwa...
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
45. Lala ni amka, keti ni simama, kimbia ni tembea kama ilivyo kwa epua ni kwa...............
- Awekelea
- Bpika
- Cinjika
- Dpakua
Answer
C. injika
Kuepua ni kutoa chungu jikoni; kinyume ni kuinjika.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lisilo sahihi kulingana na sentensi hii. Mumina alimpigia Marwa mpira.Question 46
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. “Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho. Kisima changu hakitindiki maji.Question 48
- Neno Ahmed ni jina la mwanafunzi wa gredi ya saba. Jina hili lipo katika aina ipi ya nomino?Question 49
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Dkt Mwali hutibu magonjwa mengi ya mgongo vizuri.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni jukumu lipi kuu la mnunuzi wakati wa kufanya ununuzi?Question 1