CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 44
Kamilisha sentensi ifuatayo. Bidhaa zenye thamani huwa na bei ...
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
44. Kamilisha sentensi ifuatayo.
Bidhaa zenye thamani huwa na bei .............
- Akali
- Bkhali
- Cghali
- Dgali.
Answer
C. ghali
Bei ghali = bei ya juu.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Lala ni amka, keti ni simama, kimbia ni tembea kama ilivyo kwa epua ni kwa...Question 45
- Chagua jibu lisilo sahihi kulingana na sentensi hii. Mumina alimpigia Marwa mpira.Question 46
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. “Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho. Kisima changu hakitindiki maji.Question 48
- Neno Ahmed ni jina la mwanafunzi wa gredi ya saba. Jina hili lipo katika aina ipi ya nomino?Question 49
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Dkt Mwali hutibu magonjwa mengi ya mgongo vizuri.Question 50