naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 47

Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. “Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.

From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi wa Taarifa

Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.

47. Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa.
“Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.

  1. AAfisa aliwauliza kama watakuja hapa kesho.
  2. BAfisa aliwauliza iwapo wangeenda hapo kesho.
  3. CAfisa aliwauliza iwapo wangeenda hapo siku iliyofuata.
  4. DAfisa aliwauliza kama wataenda hapo siku iliyofuata.

Answer

C. Afisa aliwauliza iwapo wangeenda hapo siku iliyofuata.

Hapa → hapo, kesho → siku iliyofuata, -ta- → -nge-.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test