CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 48
Tegua kitendawili kifuatacho. Kisima changu hakitindiki maji.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitendawili
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
48. Tegua kitendawili kifuatacho.
Kisima changu hakitindiki maji.
- AChupa
- BKinywa
- CMvua
- DTumbo
Answer
B. Kinywa
Mate hayaishi kinywani.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Neno Ahmed ni jina la mwanafunzi wa gredi ya saba. Jina hili lipo katika aina ipi ya nomino?Question 49
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Dkt Mwali hutibu magonjwa mengi ya mgongo vizuri.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni jukumu lipi kuu la mnunuzi wakati wa kufanya ununuzi?Question 1
- Ni hatua ipi kati ya zifuatazo haifai kwa mnunuzi mwangalifu?Question 2
- Kulingana na kifungu, mnunuzi anapaswa kuchukua tahadhari dhidi ya nini?Question 3
- Kwa nini mnunuzi anashauriwa kupendelea bidhaa salama kwa mazingira?Question 4