CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 43
Neno ‘uyoga’ lipo katika ngeli gani?
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
43. Neno ‘uyoga’ lipo katika ngeli gani?
- AU-I
- BI-ZI
- CU-YA
- DU-U
Answer
D. U-U
Uyoga umeota – uyoga umeota.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Bidhaa zenye thamani huwa na bei ...Question 44
- Lala ni amka, keti ni simama, kimbia ni tembea kama ilivyo kwa epua ni kwa...Question 45
- Chagua jibu lisilo sahihi kulingana na sentensi hii. Mumina alimpigia Marwa mpira.Question 46
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. “Mtakuja hapa kesho?” Afisa aliwauliza.Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho. Kisima changu hakitindiki maji.Question 48
- Neno Ahmed ni jina la mwanafunzi wa gredi ya saba. Jina hili lipo katika aina ipi ya nomino?Question 49