naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 40

Warefu wanafaa kusimama wima mbele ya darasa. Neno lililopigiwa mstari limetumika kama

From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.

40. Warefu wanafaa kusimama wima mbele ya darasa.
Neno lililopigiwa mstari limetumika kama

  1. Akielezi
  2. Bkivumishi
  3. Cnomino
  4. Dkiwakilishi.

Answer

D. kiwakilishi.

Kivumishi kinaposimama badala ya nomino hufanya kazi ya kiwakilishi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test