CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 34
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Wito __26__ kutolewa __27__ wakenya kuhusu matumizi yasiyofaa ya vileo. Vipo vileo __28__ na vingine vimepigwa marufuku. Kulingana na uchunguzi, maambukizi __29__ ya saratani yanatokana na vileo __30__ sigara. Moshi wa sigara ni sumu. Sehemu __31__ hushindwa kabisa kufanya kazi na __32__ mhusika. Juhudi za serikali kutenga mahali maalum __33__ kuvutia sigara __34__ kwani hapatumiki tena. Wavutaji hufukisha moshi __35__ bila kujali wapita njia wanaoathirika pakubwa.
34. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.
- Azimeambulia patupu
- Bzimetia fora
- Czimepiga kamsa
- Dzimefua dafu
Answer
A. zimeambulia patupu
Hazikufaulu, kwa kuwa mahali hapo hapatumiki.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Question 35
- Chagua jozi yenye methali zenye maana sawa. (i) Mgala muue na haki umpe. (ii) Polepole ndio mwendo. (iii) Lililo…Question 36
- Chagua sentensi iliyoakifishwa sahihiQuestion 37
- Kanusha sentensi hii. Aliimba na akatuzwa.Question 38
- Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi?Question 39
- Warefu wanafaa kusimama wima mbele ya darasa. Neno lililopigiwa mstari limetumika kamaQuestion 40