CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 36
Chagua jozi yenye methali zenye maana sawa. (i) Mgala muue na haki umpe. (ii) Polepole ndio mwendo. (iii) Lililo moyoni ulimi huiba. (iv) Haraka haraka haina…
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
36. Chagua jozi yenye methali zenye maana sawa.
(i) Mgala muue na haki umpe.
(ii) Polepole ndio mwendo.
(iii) Lililo moyoni ulimi huiba.
(iv) Haraka haraka haina baraka.
- A(ii), (iv)
- B(i), (iii)
- C(iii), (iv)
- D(i), (ii)
Answer
A. (ii), (iv)
Zote mbili zinahimiza kutokuwa na haraka.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyoakifishwa sahihiQuestion 37
- Kanusha sentensi hii. Aliimba na akatuzwa.Question 38
- Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi?Question 39
- Warefu wanafaa kusimama wima mbele ya darasa. Neno lililopigiwa mstari limetumika kamaQuestion 40
- Andika wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Question 41
- Chagua ukanusho wa sentensi hii. Kaka amekimbia haraka sana.Question 42