CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 38
Kanusha sentensi hii. Aliimba na akatuzwa.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
Kutoka swali la 36 hadi 50, chagua jibu sahihi.
38. Kanusha sentensi hii.
Aliimba na akatuzwa.
- AHakuimba na hakutuzwa.
- BHakuimba na akatuzwa.
- CHakuimba wala hakutuzwa.
- DHajaimba wala hajatuzwa.
Answer
C. Hakuimba wala hakutuzwa.
"Na" hukanushwa kwa "wala".
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi?Question 39
- Warefu wanafaa kusimama wima mbele ya darasa. Neno lililopigiwa mstari limetumika kamaQuestion 40
- Andika wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Question 41
- Chagua ukanusho wa sentensi hii. Kaka amekimbia haraka sana.Question 42
- Neno ‘uyoga’ lipo katika ngeli gani?Question 43
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Bidhaa zenye thamani huwa na bei ...Question 44