CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 27
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Wito __26__ kutolewa __27__ wakenya kuhusu matumizi yasiyofaa ya vileo. Vipo vileo __28__ na vingine vimepigwa marufuku. Kulingana na uchunguzi, maambukizi __29__ ya saratani yanatokana na vileo __30__ sigara. Moshi wa sigara ni sumu. Sehemu __31__ hushindwa kabisa kufanya kazi na __32__ mhusika. Juhudi za serikali kutenga mahali maalum __33__ kuvutia sigara __34__ kwani hapatumiki tena. Wavutaji hufukisha moshi __35__ bila kujali wapita njia wanaoathirika pakubwa.
27. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.
- Ana
- Bkwa
- Cwa
- Ddhidi ya
Answer
B. kwa
Wito hutolewa kwa Wakenya (kuwalenga wao).