CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 29
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.
From Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Wito __26__ kutolewa __27__ wakenya kuhusu matumizi yasiyofaa ya vileo. Vipo vileo __28__ na vingine vimepigwa marufuku. Kulingana na uchunguzi, maambukizi __29__ ya saratani yanatokana na vileo __30__ sigara. Moshi wa sigara ni sumu. Sehemu __31__ hushindwa kabisa kufanya kazi na __32__ mhusika. Juhudi za serikali kutenga mahali maalum __33__ kuvutia sigara __34__ kwani hapatumiki tena. Wavutaji hufukisha moshi __35__ bila kujali wapita njia wanaoathirika pakubwa.
29. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.
- Amengi
- Bwengi
- Cmingi
- Dnyingi
Answer
A. mengi
"Maambukizi" ni ngeli ya YA: maambukizi mengi.