CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 2)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · Revision 2026 (Booklet 2) · 39 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati.
All 39 questions with answers
- Question 1: Kwanini Juma hukimbia asubuhi?Answer: B. Ili kudumisha afya yake
- Question 2: Asha hufanya nini ili kutunza afya yake?Answer: A. Hula matunda kila siku
- Question 3: Ni hatari gani zinazotokana na kula vyakula vya mafuta kupita kiasi?Answer: B. Kwa sababu ya kula chakula kizito.
- Question 4: Kwanini watu wengi hukosa kulala vya kutosha?Answer: C. Kwa sababu ya televisheni na simu.
- Question 5: Aisha na Juma waliamua kuanzisha nini?Answer: B. Klabu ya afya
- Question 6: Funzo la dayolojia hii ni lipi?Answer: B. Afya njema inahitaji juhudi na nidhamu.
- Question 7: Kijiji kinachozungumziwa katika hadithi kinaitwaje?Answer: A. Kijiji cha kijani
- Question 8: Wanafunzi walipaswa kutumia tecknolojia kufanya nini?Answer: B. Kuandika barua pepe na kutafuta habari
- Question 9: Je, ni changamoto zipi ambayo ilitokea wanafunzi walipoanza kutumia technolojia?Answer: C. Wanafunzi wengine walitumia tecknolojia vibaya.
- Question 10: Neema alitumia kompyuta kufanya nini?Answer: B. Kutengeneza kijitabu cha shule
- Question 11: Kwanini kitabu cha Neema kilisifiwa?Answer: B. Kwa sababu kilifundisha kuhusu historia ya kijiji.
- Question 12: Neno ‘manufaa’ kama lilivyotumika katika hadithi lina maana gani?Answer: A. Faida au jambo lenye tija
- Question 13: Shairi hili linazungumzia nini?Answer: B. Utunzaji wa mazingira
- Question 14: Mwandishi anatuhimiza tufanye nini kuhusu miti?Answer: D. Tukate kwa nidhamu na tupande mingine zaidi.
- Question 15: Majani yakitoa hewa wanyama wanapata nini?Answer: B. Makao
- Question 16: Mwandishi anatuhimiza kupiga vita nini?Answer: C. Takataka
- Question 17: Tunapaswa kujenga tabia ya nini?Answer: B. Usafi
- Question 18: Neno ‘hazina ya uhai wetu’ linamaanisha nini?Answer: A. Mazingira yana thamani kubwa kwa maisha yetu.
- Question 19: Lengo kuu la shairi hii niAnswer: B. kuhimiza utunzaji wa mazingira
- Question 20: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 1.Answer: A. maamkuzi
- Question 21: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 2.Answer: C. nyakati
- Question 22: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 3.Answer: C. mchana
- Question 23: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 4.Answer: A. vilevile
- Question 24: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 5.Answer: B. watu
- Question 25: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 6.Answer: D. mambo
- Question 26: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 7.Answer: A. umri
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 8.Answer: A. kizazi
- Question 28: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 9.Answer: A. kumwamkua
- Question 29: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 10.Answer: A. shikamoo?
- Question 30: SARUFI 1. Neno ‘aliimba’ lina kiambishi cha wakati gani?Answer: A. wakati uliopita
- Question 31: Neno mpishi limetokana na kitenzi gani?Answer: B. Pika
- Question 32: Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo Jino lililokuwa linauma limepona.Answer: D. Kijino kilichokuwa kinauma kimepona.
- Question 33: Akifisha sentensi hii Ewaa shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.Answer: A. Ewaa! Shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.
- Question 34: Andika sentensi hii kwa wingi. Mavuno mazuri yanafurahiwa.Answer: A. Mavuno mazuri yanafurahiwa.
- Question 35: Tegua kitendawili Ngozi ndani nyama njeAnswer: A. firigisi
- Question 36: Neno ‘asali’ liko katika ngeli ipi?Answer: B. I - I
- Question 37: Watoto hawataenda shuleni kesho ni sentensi ya kukanusha kwa sababuAnswer: B. inaonyesha tendo lisilofanyika.
- Question 38: Kifaa cha kubofya katika tarakilishi huitwaAnswer: B. kipanya
- Question 39: Shika amri ni mfano waAnswer: C. nahau