CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Je, ni changamoto zipi ambayo ilitokea wanafunzi walipoanza kutumia technolojia?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Faida na changamoto za Tecknologia.
Katika kijji cha kijani, wanafunzi walifurahia kwanza kutumia komputa na intaneti shuleni. Walimu waliwafundisha jinsi ya kutafuta habari, kuandika barua pepe na kutumia programu za kujifunzia. Elimu yao ilibadilika sana. Kwani sasa waliweza kujifunza mambo mengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Hata hivyo, baadhi ya wanafunzi walitumia tecknologia vibaya. Wengine walitumia muda mwingi kutazama video zisizo za kielimu au kucheza michezo badala ya kusoma. Mwalimu mkuu alitoa onyo na akawashauri kutumia tecknolojia kwa manufaa yao.
Mwanafunzi mmoja aitwaye Neema alitumia kompyuta kutengeneza kijitabu cha shule kilichoelezea historia ya kijiji chao. Kijitabu hicho kilisifiwa na hata kuchapishwa. Wanafunzi wengine hujifunza kutoka kwake kuwa tecknologia ni zawadi, lakini ni lazima itumike kwa heshima.
3. Je, ni changamoto zipi ambayo ilitokea wanafunzi walipoanza kutumia technolojia?
- AKompyuta ziliharibika
- BWalimu walikosa kufunza
- CWanafunzi wengine walitumia tecknolojia vibaya.
- DMwalimu mkuu alipeana onyo
Answer
C. Wanafunzi wengine walitumia tecknolojia vibaya.
"Baadhi ya wanafunzi walitumia tecknologia vibaya."
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neema alitumia kompyuta kufanya nini?Question 10
- Kwanini kitabu cha Neema kilisifiwa?Question 11
- Neno ‘manufaa’ kama lilivyotumika katika hadithi lina maana gani?Question 12
- Shairi hili linazungumzia nini?Question 13
- Mwandishi anatuhimiza tufanye nini kuhusu miti?Question 14
- Majani yakitoa hewa wanyama wanapata nini?Question 15