naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7

Kijiji kinachozungumziwa katika hadithi kinaitwaje?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Faida na changamoto za Tecknologia.
Katika kijji cha kijani, wanafunzi walifurahia kwanza kutumia komputa na intaneti shuleni. Walimu waliwafundisha jinsi ya kutafuta habari, kuandika barua pepe na kutumia programu za kujifunzia. Elimu yao ilibadilika sana. Kwani sasa waliweza kujifunza mambo mengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Hata hivyo, baadhi ya wanafunzi walitumia tecknologia vibaya. Wengine walitumia muda mwingi kutazama video zisizo za kielimu au kucheza michezo badala ya kusoma. Mwalimu mkuu alitoa onyo na akawashauri kutumia tecknolojia kwa manufaa yao.
Mwanafunzi mmoja aitwaye Neema alitumia kompyuta kutengeneza kijitabu cha shule kilichoelezea historia ya kijiji chao. Kijitabu hicho kilisifiwa na hata kuchapishwa. Wanafunzi wengine hujifunza kutoka kwake kuwa tecknologia ni zawadi, lakini ni lazima itumike kwa heshima.

1. Kijiji kinachozungumziwa katika hadithi kinaitwaje?

  1. AKijiji cha kijani
  2. BKijiji cha milimani
  3. CKijiji cha nyota
  4. DKijiji cha uhai

Answer

A. Kijiji cha kijani

"Katika kijji cha kijani …"

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test