CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 8.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo.
Nimegundua kuwa kuna __1__ ya __2__ mbalimbali za siku kama vile asubuhi, __3__ jioni na usiku. __4__ kuna njia tofauti za kuagana katika nyakati mbalimbali. Nimegundua pia kuwa maamkizi hutumiwa kwa njia mbalimbali ya __5__ katika jamii kwa kutegemea __6__ kama vile __7__ cheo na __8__ mfano mtoto anaweza __9__ mtu mzima kwa kusema __10__ ? Naye mtu mzima anamjibu “Marahaba____”
8. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 8.
- Akizazi
- Bwananchi
- Crika
- Dukuaji
Answer
A. kizazi
Maamkizi hutegemea kizazi au rika la mtu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 9.Question 28
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 10.Question 29
- SARUFI 1. Neno ‘aliimba’ lina kiambishi cha wakati gani?Question 30
- Neno mpishi limetokana na kitenzi gani?Question 31
- Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo Jino lililokuwa linauma limepona.Question 32
- Akifisha sentensi hii Ewaa shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.Question 33