CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 31
Neno mpishi limetokana na kitenzi gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uundaji wa Maneno
2. Neno mpishi limetokana na kitenzi gani?
- APasha
- BPika
- CPisha
- DPasua
Answer
B. Pika
Mpishi ni anayepika.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo Jino lililokuwa linauma limepona.Question 32
- Akifisha sentensi hii Ewaa shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.Question 33
- Andika sentensi hii kwa wingi. Mavuno mazuri yanafurahiwa.Question 34
- Tegua kitendawili Ngozi ndani nyama njeQuestion 35
- Neno ‘asali’ liko katika ngeli ipi?Question 36
- Watoto hawataenda shuleni kesho ni sentensi ya kukanusha kwa sababuQuestion 37