naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 33

Akifisha sentensi hii Ewaa shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji

4. Akifisha sentensi hii
Ewaa shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.

  1. AEwaa! Shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.
  2. BEwaa, shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.
  3. CEwaa? Shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.
  4. DEwaa. Shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.

Answer

A. Ewaa! Shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.

"Ewaa" ni kihisishi, hufuatwa na alama ya hisi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test