naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 34

Andika sentensi hii kwa wingi. Mavuno mazuri yanafurahiwa.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

5. Andika sentensi hii kwa wingi.
Mavuno mazuri yanafurahiwa.

  1. AMavuno mazuri yanafurahiwa.
  2. BMavuno mengi yatafurahiwa.
  3. CMavuno yatafurahiwa.
  4. DMavuno yetu itafurahiwa

Answer

A. Mavuno mazuri yanafurahiwa.

Mavuno ni ngeli ya YA-YA: umoja na wingi ni sawa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test