CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36
Neno ‘asali’ liko katika ngeli ipi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
7. Neno ‘asali’ liko katika ngeli ipi?
- AYA - YA
- BI - I
- CA - WA
- DI - ZI
Answer
B. I - I
Asali haihesabiki: "asali imemwagika" — ngeli ya I-I.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Watoto hawataenda shuleni kesho ni sentensi ya kukanusha kwa sababuQuestion 37
- Kifaa cha kubofya katika tarakilishi huitwaQuestion 38
- Shika amri ni mfano waQuestion 39
- Kwanini Juma hukimbia asubuhi?Question 1
- Asha hufanya nini ili kutunza afya yake?Question 2
- Ni hatari gani zinazotokana na kula vyakula vya mafuta kupita kiasi?Question 3