CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 37
Watoto hawataenda shuleni kesho ni sentensi ya kukanusha kwa sababu
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
8. Watoto hawataenda shuleni kesho ni sentensi ya kukanusha kwa sababu
- Ainaonyesha tendo litakalofanyika.
- Binaonyesha tendo lisilofanyika.
- Cinaonyesha tendo lililopita.
- Dinaonyesha mtu atakayefanya tendo.
Answer
B. inaonyesha tendo lisilofanyika.
Kukanusha ni kuonyesha kwamba tendo halitafanyika.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kifaa cha kubofya katika tarakilishi huitwaQuestion 38
- Shika amri ni mfano waQuestion 39
- Kwanini Juma hukimbia asubuhi?Question 1
- Asha hufanya nini ili kutunza afya yake?Question 2
- Ni hatari gani zinazotokana na kula vyakula vya mafuta kupita kiasi?Question 3
- Kwanini watu wengi hukosa kulala vya kutosha?Question 4