naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 32

Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo Jino lililokuwa linauma limepona.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo

3. Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo
Jino lililokuwa linauma limepona.

  1. AMajino yaliyokuwa yanauma yamepona.
  2. BJino lililokuwa linauma limepona.
  3. CKijijino kilichokuwa kinauma kimepona.
  4. DKijino kilichokuwa kinauma kimepona.

Answer

D. Kijino kilichokuwa kinauma kimepona.

Udogo wa jino ni kijino.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test