CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30
SARUFI 1. Neno ‘aliimba’ lina kiambishi cha wakati gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
SARUFI
1. Neno ‘aliimba’ lina kiambishi cha wakati gani?
- Awakati uliopita
- Bwakati uliopo
- Cwakati ujao
- Dwakati timilifu
Answer
A. wakati uliopita
Kiambishi -li- ni cha wakati uliopita.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neno mpishi limetokana na kitenzi gani?Question 31
- Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo Jino lililokuwa linauma limepona.Question 32
- Akifisha sentensi hii Ewaa shule yetu imeshinda katika maonyesho ya sanaa.Question 33
- Andika sentensi hii kwa wingi. Mavuno mazuri yanafurahiwa.Question 34
- Tegua kitendawili Ngozi ndani nyama njeQuestion 35
- Neno ‘asali’ liko katika ngeli ipi?Question 36