CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 7.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo.
Nimegundua kuwa kuna __1__ ya __2__ mbalimbali za siku kama vile asubuhi, __3__ jioni na usiku. __4__ kuna njia tofauti za kuagana katika nyakati mbalimbali. Nimegundua pia kuwa maamkizi hutumiwa kwa njia mbalimbali ya __5__ katika jamii kwa kutegemea __6__ kama vile __7__ cheo na __8__ mfano mtoto anaweza __9__ mtu mzima kwa kusema __10__ ? Naye mtu mzima anamjibu “Marahaba____”
7. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 7.
- Aumri
- Bjamii
- Ckabila
- Dujuzi
Answer
A. umri
Maamkizi hutegemea umri.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 8.Question 27
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 9.Question 28
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 10.Question 29
- SARUFI 1. Neno ‘aliimba’ lina kiambishi cha wakati gani?Question 30
- Neno mpishi limetokana na kitenzi gani?Question 31
- Badilisha sentensi hii katika hali ya udogo Jino lililokuwa linauma limepona.Question 32