CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 20
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 1.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo.
Nimegundua kuwa kuna __1__ ya __2__ mbalimbali za siku kama vile asubuhi, __3__ jioni na usiku. __4__ kuna njia tofauti za kuagana katika nyakati mbalimbali. Nimegundua pia kuwa maamkizi hutumiwa kwa njia mbalimbali ya __5__ katika jamii kwa kutegemea __6__ kama vile __7__ cheo na __8__ mfano mtoto anaweza __9__ mtu mzima kwa kusema __10__ ? Naye mtu mzima anamjibu “Marahaba____”
1. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 1.
- Amaamkuzi
- Bsalamu
- Cmaamkizi
- Dmaakizi
Answer
A. maamkuzi
Maamkuzi ni salamu za nyakati mbalimbali.