CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026: Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha)
Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 30 questions with answers
- Question 1: Chagua jibu la nambari ya kwanza.Answer: B. Aheri
- Question 2: Mosi alitaka kuishi wapi?Answer: D. Popote pangemridhisha
- Question 3: Lipi si pendekezo la Mosi kuhusu jumba alilotaka?Answer: D. Liwe na jaa la taka
- Question 4: Mosi angelipa pesa ngapi kila mwezi?Answer: C. 52000
- Question 5: Chagua neno lenye maana sawa na wiki.Answer: B. Juma
- Question 6: Ni nini maana ya kuwa samaki?Answer: A. Kuwa mjinga
- Question 7: Mwanafunzi hukosa kuelewa masomo ikiwaAnswer: B. ana mambo mengi anawaza
- Question 8: Ni nini maana ya nahau akijifunga nira?Answer: A. Kuwa na bidii
- Question 9: Kulingana na aya ya mwisho ni kweli kusema kuwaAnswer: B. Kasomi alikuwa mtundu
- Question 10: Ni mwanafunzi yupi alitaja chombo ambacho huendeshwa majini?Answer: D. Veli
- Question 11: Chagua chombo ambacho hubeba abilia wachache kabisa.Answer: B. Pikipiki
- Question 12: Ni chombo kipi huwa na rubani?Answer: C. Helikopta
- Question 13: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. ugonjwa wa malaria hutishia maisha
- Question 14: Serikali za nchi zinahimizwa kufanya nini?Answer: B. Kuweka mbinu za kukabiliana na malaria
- Question 15: Ni jukumu la nani kudumisha usafi wa mazingira?Answer: A. Kila mmoja
- Question 16: Jaza nafasi ya 16 kwa neno linalofaa.Answer: C. kikiwa
- Question 17: Jaza nafasi ya 17 kwa neno linalofaa.Answer: B. kitamu
- Question 18: Jaza nafasi ya 18 kwa neno linalofaa.Answer: A. safi
- Question 19: Jaza nafasi ya 19 kwa neno linalofaa.Answer: D. ya
- Question 20: Jaza nafasi ya 20 kwa neno linalofaa.Answer: C. kula
- Question 21: Chagua sentensi sahihi.Answer: D. Pikipiki ile ni kubwa.
- Question 22: Chagua kitenzi katika sentensi hii. Darasa lilioshwa na wanafunzi wote.Answer: A. lilioshwa
- Question 23: Kiroboto, kiboko na kifaru ni katika ngeli gani?Answer: B. A-WA
- Question 24: Kamilisha methali: Mtoto wa nyoka ___.Answer: C. ni nyoka
- Question 25: Chagua jibu mwafaka kujaza pengo Tunda ___ lilinunuliwa lilikuwa limeiva.Answer: B. ambalo
- Question 26: Tambua kifaa ambacho hakipatikani sebuleni.Answer: C. Kitanda
- Question 27: Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?Answer: B. Pafu
- Question 28: Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?Answer: A. Rununu
- Question 29: Ni ndege yupi hufugwa nyumbani?Answer: D. Bata
- Question 30: Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo. Aliadhibiwa___alipoteza sweta.Answer: A. kwa sababu