naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23

Kiroboto, kiboko na kifaru ni katika ngeli gani?

From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino

Kiroboto, kiboko na kifaru ni katika ngeli gani?

  1. AYA-YA
  2. BA-WA
  3. CU-ZI
  4. DKI-VI

Answer

B. A-WA

Ingawa maneno haya yanaanza na "ki-", ni majina ya viumbe hai (wanyama), hivyo hufuata upatanisho wa ngeli ya A-WA.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test