CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Chagua jibu mwafaka kujaza pengo Tunda ___ lilinunuliwa lilikuwa limeiva.
From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Chagua jibu mwafaka kujaza pengo
Tunda ______ lilinunuliwa lilikuwa limeiva.
- Aambao
- Bambalo
- Cambayo
- Dambacho
Answer
B. ambalo
"Tunda" (wingi "matunda") ni nomino ya ngeli ya LI-YA, hivyo kiwakilishi sahihi cha kurejesha ni "ambalo".
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Tambua kifaa ambacho hakipatikani sebuleni.Question 26
- Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?Question 27
- Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?Question 28
- Ni ndege yupi hufugwa nyumbani?Question 29
- Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo. Aliadhibiwa___alipoteza sweta.Question 30
- Chagua jibu la nambari ya kwanza.Question 1