CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?
From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Ni kiungo kipi cha mwili husafisha hewa?
- AMshipa
- BPafu
- CFigo
- DMoyo
Answer
B. Pafu
Pafu (mapafu) ndicho kiungo cha mwili kinachosafisha hewa tunayopumua.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?Question 28
- Ni ndege yupi hufugwa nyumbani?Question 29
- Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo. Aliadhibiwa___alipoteza sweta.Question 30
- Chagua jibu la nambari ya kwanza.Question 1
- Mosi alitaka kuishi wapi?Question 2
- Lipi si pendekezo la Mosi kuhusu jumba alilotaka?Question 3