CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28
Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?
From Test 21 — Grade 6 Revision Paper 1, 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Ni kifaa kipi ambacho hutusaidia kuwasiliana?
- ARununu
- BRuninga
- CKikokotoo
- DRimota
Answer
A. Rununu
Rununu (simu ya mkononi) ndicho kifaa kinachotumika zaidi kuwasiliana kati ya vilivyoorodheshwa.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni ndege yupi hufugwa nyumbani?Question 29
- Tumia kiunganishi kifaacho kujaza pengo. Aliadhibiwa___alipoteza sweta.Question 30
- Chagua jibu la nambari ya kwanza.Question 1
- Mosi alitaka kuishi wapi?Question 2
- Lipi si pendekezo la Mosi kuhusu jumba alilotaka?Question 3
- Mosi angelipa pesa ngapi kila mwezi?Question 4